44%

Utafiti wa Vipaumbele vya Bajeti ya Mwaka wa Fedha wa 2025 wa Jiji la Tukwila

Caution: JavaScript execution is disabled in your browser or for this website. You may not be able to answer all questions in this survey. Please, verify your browser parameters.
Huduma Kuu za Jiji na Bajeti ya Mwaka wa Fedha wa 2025
[ idbkp ]
762
[ IPGL ]
Location data from IP:
[ Q1 ]
Tafadhali onyesha kiwango cha jinsi mahitaji yako yanatimizwa na kila huduma kuu za Jiji zilizoorodheshwa hapa chini. Ikiwa huna hitaji la huduma kuu ya Jiji iliyoorodheshwa, tafadhali chagua "Sina Hitaji."
01. Msaada kwa Mahitaji ya Msingi ya Binadamu: Chakula, Kodi ya Nyumba, Huduma za Nyumbani
02. Jitihada za Jiji za kuboresha upatikanaji wa Nyumba za Bei Nafuu
03. Utekelezaji wa Kanuni: Kuhakikisha kuwa Mali za Binafsi ni Salama na Zinatunzwa
04. Ushiriki wa jamii: matukio na mikusanyiko ya kijamii
05. Huduma za Uchukuaji wa Taka na Urejelezaji
06. Huduma za Wasio na Makazi na Kambi
07. Matengenezo ya Barabara
08. Utunzaji wa bustani na njia za Jiji
09. Udhibiti wa Trafiki Mtaani (udhibiti wa kasi na uwekaji ishara)
10. Mipango ya Wazee ya Bustani na Burudani
11. Mipango ya Barubaru na Vijana ya Bustani na Burudani
12. Mipango na Matumizi ya Ardhi
13. Huduma za Polisi na Usalama wa Umma
14. Njia na vijia salama vya Baiskeli
15. Njia Salama za Kutembea
16. Vifaa Salama, Fanisi na Vinavyovutia vya Jiji
17. Njia za kando
18. Maji ya dhoruba na Maji taka
19. Msaada kwa Biashara Ndogo Ndogo na Uchumi wa Eneo
20. Idadi ya vifaa vya bustani na njia za Jiji
21. Eleza mwenyewe
[ Q1x21 ]
Tafadhali eleza huduma ya Jiji.
[ Q2 ]
Ni huduma gani NNE zilizoorodheshwa hapo juu unafikiri zinapaswa kupewa kipaumbele katika Bajeti Iliyopendekezwa ya Mwaka wa Fedha wa 2025?
[ Q3 ]
Ikiwa ulikadiria huduma zozote katika Swali la 1 kama kipaumbele cha 1 au 2, ni nini kinaweza kufanywa ili kuhakikisha huduma hizi zinakidhi mahitaji yako?
[ Q4 ]
Je, una mapendekezo yoyote ya ziada ya bajeti ya Mwaka wa Fedha wa 2025?